![]() |
| MWENYEKITI wa CCM, Jakaya Kikwete na marais wastaafu, Ali Hassan Mwinyi na Benjamin Mkapa wakiwa na mgombea urais wa CCM, Dk. John Magufuli baada ya uzinduzi wa kampeni |
![]() |
| RAIS mstaafu wa awamu ya tatu Benjamin Mkapa akihutubia maelfu ya wanachama wa CCM waliofurika kwenye viwanja vya Jangwani wakati wa uzinduzi huo. |
![]() |
| WAZIRI Mkuu mstaafu Jaji Joseph Warioba akihutubia umati huo, akielezea sifa za mgombea urais wa CCM, Dk. John Magufuli |
![]() | |||
| RAIS mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi akihutubia umati huo. |







No comments:
Post a Comment