![]() |
| Msafara wa mgombea ubunge wa Moshi Mjini kwa tiketi ya CCM, David Mosha ukielekea kwenye uwanja wa mkutano |
| Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa CCM, Sophia Simba, akimtambulisha mgombea ubunge wa Jimbo la Moshi Mjini, Davis Mosha kwa wananchi wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika juzi |
![]() |
| Baadhi ya wananchi waliojitokeza kusikiliza sera za mgombea ubunge wa Moshi Mjini kwa tiketi ya CCM, Davis Mosha. |
![]() |
| Davis Mosha akiomba kura kwa wananchi wakati wa mkutano huo |
| Davis Mosha akiwa amezungukwa na wapambe wake |



No comments:
Post a Comment