![]() |
| Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba akihutubia umati wa wananchi katika mkutano uliofanyika kwenye jimbo la Kiteto mkoani Manyara |
![]() |
| Wananchi waliohudhuria mkutano huo wakionyesha mabango yenye picha ya mgombea urais wa CCM, Dk. John Magufuli |
![]() |
| Nchemba akiendelea kumwaga sera za CCM wakati wa mkutano huo |
![]() |
| Wananchi wakinyoosha mikono juu kuashiria kuunga mkono hotuba ya Nchemba |
![]() |
| Nchemba akiwasalimia wananchi baada ya kuwasili kwenye eneo la mkutano |
![]() |
| Nchemba akiingia kwenye uwanja wa mkutano baada ya kushuka kwenye chopa |
![]() |
| CCM oyeee. Ndivyo wanavyosema wananchi hawa wakati wa mkutano huo |







No comments:
Post a Comment