Tuesday, 31 October 2017
RAIS MAGUFULI AZINDUA VIWANDA VIWILI VIPYA MWANZA
›
1 comment:
Sunday, 29 October 2017
JPM ATEUA WAKUU WAPYA SITA WA MIKOA
›
RAIS Dk. John Magufuli, amefanya uteuzi wa wakuu wapya wa mikoa, makatibu wakuu na manaibu katibu wakuu. Katika uteuzi huo, uliotangazwa k...
UMEME WAMTOKEA PUANI KIGOGO TANESCO
›
WAZIRI wa Nishati, Dk. Medard Kalemani ameagiza kuhamishwa kwa Meneja wa kituo cha kuzalisha umeme cha Kidatu, Manfred Ndyalu kwa kushindw...
MVUA YALETA KIZAAZAA DAR, MMOJA AFA
›
MVUA kubwa iliyonyesha jijini Dar es Salaam, jana, ilisababisha mafuriko makubwa na kuua mtu mmoja, huku miundombinu nayo ikiharibika...
Wednesday, 25 October 2017
MKUCHIKA AWAKOROMEA WANAOITISHA TAKUKURU
›
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), imetakiwa kufanyakazi zake kwa ujasiri bila kuogopa kutishwa na wasikubali kuingi...
UFAHARI WAMTOKEA PUANI KIGOGO TRA
›
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), imempandisha kizimbani Ofisa Forodha Msaidizi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA...
Tuesday, 24 October 2017
JPM: WAPUUZENI WANAOPOTOSHA TAKWIMU ZA SERIKALI
›
RAIS Dk. John Magufuli, amewataka watanzania kuendelea kuwapuuza wapotoshaji wa takwimu rasmi za serikali, wanaodai mapato ya serikali...
OMAN KUWEKEZA SEKTA YA VIWANDA VYA NYAMA
›
WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina, amekutana na Waziri wa Uwekezaji wa Oman, Salim Al Ismail na kujadili uwekezaji wa viwanda katika...
›
Home
View web version