Tuesday, 8 December 2015

RAIS MAGUFULI ASHIRIKI KUFANYA USAFI DAR

RAIS John Magufuli (JPM) akishiriki kufanya usafi katika moja ya maeneo ya Jiji la Dar es Salaam leo, ikiwa ni utekelezaji wa agizo lake la kutaka siku ya leo, Desemba 9, 2015, ambayo ni maalumu kwa ajili ya maadhimisho ya siku ya Uhuru wa Tanganyika, itumike kufanyika usafi nchi nzima. Agizo hilo ni uthibitisho mwingine wa kauli mbiu yake ya Hapa Kazi Tu na wananchi wamelipokea na kulifanyiakazi kwa hamasa kubwa nchi nzima.

No comments:

Post a Comment