Sunday, 25 October 2015

MAMA SALMA KIKWETE APIGA KURA LINDI

 Mama Salma Kikwete akisubiri kadi inayokaguliwa na msimamizi wa Kituo alichojiandikisha na hatimaye kupiga kura  katika Ofisi ya Afisa Mtendaji Kata ya Mtanda Halmashauri ya Manispaa ya Lindi Mjini.

No comments:

Post a Comment