RAIS Jakaya Kikwete leo ameungana na mamilioni kupiga kura ya kumchagua rais, wabunge na madiwani katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Rais Kikwete alipiga kura kijijini kwake Msoga, Chalinze mkoani Pwani
Rais Kikwete akiwa kwenye foleni ya kupiga kura, akisubiri zamu yake
Rais Kikwete akitumbukiza kura yake kwenye sanduku la kura
Rais Kikwete akijibu maswali ya waandishi wa habari baada ya kumaliza kupiga kura
No comments:
Post a Comment