| WANACHAMA wa CCM na wananchi wakimsikiliza mgombea urais wa Zanzibar, Dk. Shein alipowahutubia. |
| DK. Shein akisisitiza jambo alipowahutubia wananchi kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye viwanja vya Bungi. |
| WANA-CCM wakimshangilia mgombea urais wa Zanzibar, Dk. Shein alipokuwa akiwahutubia. |
| WAFUASI wa CCM wakinyoosha mikono juu kumshangilia Dk. Shein. |
| KADA CCM, Amina Salum Ali, akiwahutubia wananchi wakati wa mkutano huo. |
No comments:
Post a Comment