Sunday, 25 October 2015

DK. MAGUFULI APIGA KURA JIMBONI KWAKE CHATO

Mgombea Urais kwa kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akipiga kura kwenye kituo namba moja kilichopo shule ya msingi Magufuli iliyopo Chato, mkoani Geita.Dk. Magufuli alipiga kura yake asubuhi ya saa 4 na dakika 32
DK Magufuli akiweka alama kwenye karatasi za kupigia kura
Hapa akiweka kura yake kwenye sanduku la urais
Akiweka kura yake kwenye sanduku la madiwani
Dk. Magufuli akionyesha kidole chake kilichowekwa wino kuonyesha kwamba ameshapiga kura
Hapa akitumbukiza kura yake kwenye sanduku la wabunge

No comments:

Post a Comment