MWENYEKITI WA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI JAJI LUBUVA AKITANGAZA MATOKEO YA KURA ZA URAIS
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu Damian Lubuva akitangaza matokeo ya kura za urais kwa waandishi wa habari leo kwenye ukumbi wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere. Kulia ni Mkurugenzi wa tume hiyo, Kailima Ramadhani
Baadhi ya waangalizi wa kimataifa wa uchaguzi huo wakifuatilia matokeo yaliyokuwa yakitangazwa na tume
No comments:
Post a Comment