Friday 9 October 2015

SAMIA ATEMA CHECHE MWANZA

Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan, akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika eneo la Kisesa, jimbo la Magu mkoani Mwanza
Wananchi wakiwa wamezuia msafara wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama samia Suluhu, leo katika eneo la Sumve mkoani Mwanza.
 Msanii wa Bongo Movie anayeunda kundi la Mama Ongea na Mwanao la kupiga kampeni za CCM, Wema Sepetu, akimuombea kura Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika eneo la Kisesa jimbo la Magu mkoani Mwanza
Mgombea Ubuge jimbo la Misungwi, Mansoor Hirani, akiomba kura wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo hilo mkoani Mwanza
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza Anthony Diallo akimkaribisha Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan kuhutubia mkutano wa kampeni uliofayika leo katika eneo la Kisesa jimbo la Magu mkoani Mwanza

No comments:

Post a Comment