Thursday 5 November 2015

RAIS KIKWETE OFISINI KWA MARA YA MWISHO



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa ofisini kwake Ikulu, mjini Dar es Salaam, akimalizia kazi kwa mara ya mwisho jana. Kwa muda wa miaka 10 ya uongozi wake, Rais Kikwete alikuwa akitumia ofisi hii, ambayo kuanzia leo itarithiwa na Rais mpya, Dk. John Magufuli, aliyeapishwa rasmi leo.

Mungu Ibariki Tanzania.

No comments:

Post a Comment