Thursday 5 November 2015

SHEREHE ZA KUMUAPISHA RAIS DK. JOHN MAGUFULI ZAFANA DAR

RAIS mpya wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli, akikwagua gwaride la heshima baada ya kuapishwa kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam jana.
RAIS Dk. John Magufuli akila kiapo cha kuwa Rais wa Tanzania, mbele ya Jaji Mkuu Othman Chande. Katikati ni Katibu Mkuu Kiongozi, Ombeni Sefue na kushoto ni Rais mstaafu Jakaya Kikwete
RAIS John Magufuli akiwa ameshika mkuki na ngao baada ya kukabidhiwa na wazee katika hafla ya kumuapisha iliyofanyika jana kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.
RAIS mstaafu Jakaya Kikwete akiwapungia mkono wananchi wakati alipokuwa akiingia kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam jana.
RAIS mstaafu Jakaya Kikwete akipokea heshima za mwisho

No comments:

Post a Comment