JK ATUNUKIWA SHAHADA YA HESHIMA YA UDAKTARI YA UHUSIANO WA KIMATAIFA
Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), Dk. Asha Rose Migiro akimhudhurisha Shahada ya Heshima ya Udaktari ya Uhusiano wa Kimataifa, Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu, Dk. Jakaya Kikwete, katika mahafali ya 30 ya Chuo hicho, yaliyofanyika ana, Alhamisi, Januari 21, 2016, Kampasi ya Kinondoni, Dar es Salaam. (Picha zote na Bashir Nkoromo-CCM Blog)
Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), Dk. Asha Rose Migiro akimhudhurisha Shahada ya Heshima ya Udaktari ya Uhusiano wa Kimataifa, Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu, Dk. Jakaya Kikwete, katika mahafali ya 30 ya Chuo hicho, yaliyofanyika leo, Alhamisi, Januari 21, 2016, Kampasi ya Kinondoni, Dar es Salaam.
Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), Dk. Asha Rose Migiro akimpongeza baada ya kumhudhurisha Shahada ya heshima ya Udaktari ya Uhusiano wa Kimataifa, Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu, Dk. Jakaya Kikwete, katika mahafali ya 30 ya Chuo hicho, yaliyofanyika leo, Alhamisi, Januari 21, 2016, Kampasi ya Kinondoni, Dar es Salaam.
Dk. Kikwete na Profesa Such na Mama Salma Kikwete wakiwa na Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, Dk. Asha-Rose Migiro
No comments:
Post a Comment