Saturday, 7 May 2016

WABUNGE WANAWAKE WA UPINZANI WATIMULIWA BUNGENI




Askari wakiwatoa bungeni wabunge wanawake wa Kambi ya Upinzani baada kutokea vurugu, wakati muongozo wao wa kumtaka Mbunge wa Jimbo la Ulanga, Goodluck Millinga afute lugha ya maudhi aliyoitoa jana na kuwaudhi wabunge hao. (PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG.

No comments:

Post a Comment