Tuesday, 25 August 2015

VIPAUMBELE VYA MAGUFULI






1. Umoja wa Kitaifa

2. Kulinda Muungano wa Tanzania.

3. Ulinzi na usalama

4. Kuheshimu mihimili ya Dola.

5. Mahakama Maalum ya Mafisadi na majizi

5. Utawala bora

7. Ataheshimu mawazo yote ya kuleta maendeleo hata yakitoka upinzani

8. Ataimarisha vyombo vya usalama

9. Vita dhidi ya ubadhirifu

10. Kodi ilipwe na wote

11. Ataongeza ajira kwa kuimarisha viwanda

12. Sekta ya kilimo itaimarishwa

13. Sekta ya mifugo itaimarishwa ili iwe na tija kwa kujenga viwanda

14. Madini yatadhibitiwa ili yalete maendeleo

15. Maji yatapelekwa Vijijini na mijini

16. Zahanati kila kijiji, Hospitali ya rufaa kila mkoa, kuboresha maslahi ya wauguzi

17. Elimu bure hadi kidato cha nne, nyumba za walimu zitajengwa.

18. Wanafunzi wa vyuo vikuu, atahakikisha mikopo inakwenda mapema ili wasome kwa utulivu.

19. Kujenga hosteli za wana vyuo

20. Maslahi ya watumishi, kila mtu anayefanya kazi atapata haki yake.

21. Gesi itasimamiwa vyema ili isaidie nchi

22. Barabara zitaboreshwa, flyovers kujenga ya kwanza Salander, Tazara

23. Msongamano Dar es Salaam utashughulikiwa

24. Reli itajengwa upya

25. Bandari, anga zitaboreshwa

26. Maslahi ya watumishi wa  maliasili yataboreshwa ili watalii wengi waje.

27. Serikali itakuwa rafiki kwa wawekezaji wenye nia njema

28. Maslahi ya wafanyakazi yatalindwa

29. Walemavu watalindwa na haki zao zitalindwa

30. Uhuru wa Habari utalindwa na atakuwa karibu na waandishi

31.  Wasanii na wanamichezo haki zao zitalindwa, kutakuwa na Mfuko Maalum kwa ajili hiyo

32. Reli ya Dar itajengwa

No comments:

Post a Comment