![]() |
| Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akiruka kutoka kwenye gari wakati akiwasili kwenye uwanja wa mkutano mjini Kahama |
![]() |
| Wananchi wakiwa wamebanana kabisa kumuona Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli |
![]() |
Wachimbai wadogo wa Nyarugusu wakimsikiliza Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli wakati akihutubia kwenye mkutano wa kampeni. |
![]() |
| Wachimbai wadogo wa Nyarugusu wakimsikiliza Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli wakati akihutubia kwenye mkutano wa kampeni. |






No comments:
Post a Comment