|  | 
| Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Shinyanga mjini waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika kwenye uwanja wa Kambarage | 
|  | 
| Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akisisiti za jambo wakati wa mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika Shinyanga mjini | 
|  | 
| Mjumbe wa Kamati ya Kampeni ya CCM Mzee Samuel Sitta akihutubia wakazi wa mkoa wa Shinyanga kwenye mkutano wa kampeni za kumnadi mgombea urais wa CCM Dk. John Pombe Magufuli. | 
|  | 
| Mgombea wa urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwaaga wakazi wa mji wa Shinyanga mara baada ya kumaliza mkutano wa kampeni kwenye uwanja wa Kambarage | 
 

 
No comments:
Post a Comment