HII ni sehemu ya umati wa wananchi waliohudhuria mkutano wa kufunga kampeni za kuwania urais wa Zanzibar, uliofanyika kwenye viwanja vya Kibanda Maiti, Zanzibar |
RAIS wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na mgombea mwenza wa urais wa CCM, Samia Suluhu Hassan |
Dk. Shein akisalimiana na Rais mstaafu wa awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi |
DK Shein akiteta jambo na Samia wakati wa mkutano huo |
Kijana wa kimasai akishangilia kwa staili ya aina yake wakati wa mkutano huo |
Mzee Mwinyi akiwahutubia wananchi wakati huo, kumuombea kura Dk. Shein |
Msanii Dogo Aslay akiburudisha mashabiki wakati wa mkutano huo |
Mgombea mwenza wa urais wa CCM, Samia akihutubia maelfu ya wananchi wakati wa mkutano huo |
No comments:
Post a Comment