Sunday, 11 October 2015

KAMATI KUU YA CCM YAKUTANA KWA DHARULA

Wajumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM, wakiwa wamesimama kimya kwa dakika moja kumkumbuka aliyekuwa mgombea ubunge wa Ulanga, marehemu Celina Kombani
Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal (kulia) akitaniana na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Waziri Mkuu mstaafu, Salim Ahmed Salim baada ya kumalizika
Dk. Bilal akisalimiana na Kinana
Dk. Bilal akisalimiana na mmoja wa wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM

No comments:

Post a Comment