Saturday, 12 December 2015

RAIS MAGUFULI AWAAPISHA MAWAZIRI WAPYA

Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimuapisha Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dk. Hussein Mwinyi kweye ukubi wa mikutano wa Ikulu  jijini Dar es salaam ambapo mawaziri mbalimbali wameapa kutumikia watanzania kwa miaka mitano ijayo ya uongozi wa Dk. John Pombe Magufuli, wa tatu kutoka kulia ni Balozi Ombeni Sefue Katibu Mkuu Kiongozi.(PICHA NA JOHN BUKUKU-IKULU DAR ES SALAAM)
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimkabidhi vitendea kazi Naibu Waziri wa Ardhi , Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula mara baada ya kumuapisha Ikulu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimuapisha Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. William Lukuvi Ikul.
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimuapisha Mh. Nape Nnauye kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo Ikulu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Mawaziri mara baada ya kuwaapisha Ikulu
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Mawaziri na Manaibu Mawaziri mara baada ya kuwaapisha Ikulu leo.
Kutoka kulia Makamu wa Rais Mh. Samia  Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mh. Majaliwa, Kassim Majaliwa, Jaji Mkuu wa Tanzania Mh. Mohammed Chande, Mwanasheria Mkuu wa Serikali George Masaju, Naibu Spika wa Bunge Tulia Ackson Mwansasu na Mke wa Rais Mama Janet Magufuli wakishuhudia wakati mawaziri wakiapishwa ikulu

No comments:

Post a Comment