| Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli akisalimiana na mwakilishi mkazi wa Benki ya dunia Bi. Bella Bird alipomtembelea Ikulu jijini Dar es Salaam leo. |
| Rais Magufuli akisalimiana na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia,Bi. Bella Bird alipomtembelea Ikulu jijini Dar es Salaam leo. |
| Rais Magufuli akiwa katika mazungumzo na Bi Bella Bird |
![]() |
| Rais Magufuli akiagana na Bi Bella Bird |

No comments:
Post a Comment