MAJALIWA USO KWA USO NA SUMAYE
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye na mkewe Esther katika Ibada ya kumuingiza   kazini Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Askofu Frederick Shoo iliyofanyika kwenye kanisa kuu la KKKT mjini Moshi Januari 31, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Mkuu wa Kanisa la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Frederick Shoo  (kulia) na Mkuu wa Kanisa hilo mstaafu, Askofu Alex Malasusa katika  Ibada ya kumuingiza  kazini Askofu Shoo iliyofanyika kwenye kanisa kuu la KKKT mjini Moshi januari 31, 2016
 
 
 
          
      
 
  
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment