Monday, 4 January 2016

RAIS MAGUFULI AKUTANA NA VIGOGO WA SERIKALI, BAKWATA NA CCM


 RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, akimkaribisha Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zuber Ally Ikulu jijini Dar es Salaam, jana.
Rais Magufuli akimkaribisha Mkurugenzi wa Mashtaka DPP, Biswalo Eutropius Mganga, Ikulu jijini Dar es Salaam, jana.
RAIS Magufuli akiagana na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Juma Assad, Ikulu, Dar es Salaam jana.
RAIS Magufuli akimkaribisha Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Alhaji Abdalla Bulembo, Ikulu, Dar es Salaam jana

No comments:

Post a Comment