Thursday, 21 January 2016
SAMIA AKUTANA NA KUTETA NA MAHIGA, BALOZI WA MISRI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Balozi wa Misri Nchini Mhe. Mohamed Yasser Elshawaf wakati Balozi huyo alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam leo Januari 21, 2016 ambapo kwenye mazungumzo yao walizungumzia umuhimu wa kuimarisha ushirikiano kwenye sekta ya Kiuchumi, Usafirishaji, Kilimo, na Elimu baina ya Nchi mbili hizi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Afrika Mashariki Mhe. Balozi Dkt. Agostino Mahiga wakati alipomtembelea Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam leo Januari 21, 2016. (Picha na OMR)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment