WAZIRI MKUU MAJALIWA AWASILI DODOMA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma,Chiku Galawa baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma January 20, 2016, ambako pamoja na mambo mengine anatarajiwa kuhudhuria vikao vya Bunge. Kulia ni mkewe Mary.
No comments:
Post a Comment