RAIS Mteule wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein, akionyesha cheti alichokabidhiwa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), Jecha Salum Jecha, jana, baada ya kuibuka mshindi katika uchaguzi wa marudio wa Zanzibar, uliofanyika juzi visiwani humo. |
No comments:
Post a Comment