Friday, 11 March 2016

RAIS WA VIETNAM AMALIZA ZIARA YAKE NCHINI NA KUONDOKA

Rais wa Vietinam, Truong Tan Sang na Mkewe Mai Thi Hanh  wakiwapungia wananchi huku wakiongozwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuelekea kwenye ndege yao kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam  wakati walipoondoka nchini Machi11, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Rais wa Vietinam, Truong  Tan Sang akiagana na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam  wakati alipoondoka nchini  Machi 11, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Rais wa Vietinam, Truong Tan Sang na Mkewe Mai Thi Hanh   wakiagana  na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuelekea kwenye ndege yao kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam  wakati walipoondoka nchini Machi11, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mpiga picha aliyeambatana na Rais wa Vietinam katika ziara yake nchini akicheza ngoma kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam kabla ya kuondoka nchini kwa Rais wake , Truong Tan Sang, Machi 11, 2016.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment