Wednesday 7 October 2015

DK. MAGUFULI ACHANJA MBUGA KARATU NA MBULU

Mgombea urais wa CCM, Dk. John Magufuli akihutubia mkutano wa kampeni katika mji wa Karatu
Umati wa wananchi wa Karatu wakimsikiliza Dk. Magufuli
Dk. Magufuli akimtambulisha kwa wananchi mgombea ubunge wa CCM Karatu, Wilbrod Lorri
Dk Magufuli akimnadi mggombea ubunge wa jimbo la Hanang, Mary Nagu

Dk. Magufuli akisisitiza jambo wakati  wa mkutano wa Karatu
Sehemu ya umati wa wananchi waliofurika kumsikiliza Dk Magufuli Mbulu
Dk. Magufuli akisisitiza jambo kwa wananchi wakati wa mkutano wake uliofanyika Mbulu

No comments:

Post a Comment