Monday 5 October 2015

MKUTANO WA DK MAGUFULI WAWEKA HISTORIA MANYARA

Mgombea urais wa CCM, Dk. John Magufuli akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika wilayani Babati mkoani Manyara jana.
Ni nyomi kwa kwenda mbele. Huu ni sehemu ya umati wa wananchi uliohudhuria mkutano huo
DK. Magufuli akimwaga sera kwa wananchi
Wananchi wakimsikiliza kwa makini Dk. Magufuli
Mgombea ubunge wa jimbo la Hanang kwa tiketi ya CCM, Mary Nagu akiomba kura kwa wananchi
Haijapata kutokea kwa mkutano wa kampeni kufurika idadi kubwa ya watu namna hii Babati
Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi ya CCM, Abdalla Bulembo akimwaga sera

No comments:

Post a Comment