Monday 5 October 2015

SAMIA AENDELEA KUCHANJA MBUGA TABORA

Samia Suluhu Hassan akihutubua mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye shule ya sekondari ya Uyui mkoani Tabora
Wananchi wakimshangilia mgombea mwenza wa urais, Samia Suluhu Hassan alipowahutubia kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye shule ya sekondari ya Uyui
Kinamama wakinyoosha mikono kumuunga mkono mgombea mwenza
Hii ni sehemu ya wananchi waliohudhuria mkutano huo
Wananchi wakimsikiliza kwa makini mgombea mwenza

No comments:

Post a Comment