Monday 5 October 2015

WASANII WA KUNDI LA NIMESTUKA WAWASHTUA WANANCHI KUHUSU UKAWA

Mgombea mwenza wa urais wa CCM, Samia Suluhu Hassan akisalimiana na wasanii wa kundi la Nimestuka kabla ya kuhutubia mkutano wa kampeni Ndala, Jimbo la Nzega
Samia akitoa hai kwa wasanii wa bongo movie
Samia akisalimiana na wasanii kabla ya kuhutumia mkutano Nzega
Samia akisalimiana na baadhi ya viongozi wa CCM Nzega
Mrembo wa Tanzania wa 2015, Lilian Kamazima akiwasalimia wananchi wakati wa mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza
Inspekta Haroun akiwasalimia wananchi. Nyuma yake ni Juma Nature
Msanii wa filamu Ndende akiwasalimia wananchi

No comments:

Post a Comment