Tuesday, 13 October 2015

SAMIA AWAVURUGA WAPINZANI SHINYANGA

Mgombea mwenza wa urais wa CCM, Samia Suluhu Hassan, akiteta jambo na mgombea ubunge wa jimbo la Simanjiro, Christopher Ole Sendeka kabla ya kuhutubia mkutano wa kampeni uliofanyika Shinyanga
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Geita, Musukuma akimwaga sera za Chama kwa wananchi wakati wa mkutano huo
Samia akihutubia wananchi wakati wa mkutano huo
Wananchi wakipunga mikono hewani kushangilia hotuba ya Samia
Mrembo wa zamani wa Tanzania na mcheza filamu maarufu, Wema Sepetu akiwahamasisha wananchi kuichagua CCM wakati wa mkutano huo
Ole Sendeka akihutubia wananchi

No comments:

Post a Comment