Friday 13 November 2015

RAIS MSTAAFU KIKWETE AKABIDHI NYARAKA ZA IKULU KWA RAIS MAGUFULI

RAIS mstaafu Jakaya Kikwete akikabidhi nyaraka za ofisi kwa Rais Dk John Magufuli, Ikulu mjini Dar es Salaam jana.
RAIS Dk. John Magufuli akitazama moja ya nyaraka za ofisi alizokabidhiwa na Rais mstaafu Jakaya Kikwete, Ikulu mjini Dar es Salaam jana
RAIS Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Rais mstaafu Kikwete, Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue
RAIS Magufuli akizungumza na Rais mstaafu Kikwete na Balozi Sefue









No comments:

Post a Comment