Friday, 11 March 2016

RAIS MAGUFULI AMTEMBELEA MAALIM SEIF NA KUMJULIA HALI

RAIS Dk. John Magufuli amemtembelea Katibu Mkuu wa Chama cha CUF, ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharrif Hamad, ambaye alikuwa mapumziko kwenye Hoteli ya Serena, baada ya kutoka kwenye Hospitali ya Hindu Mandal, alilokuwa amelazwa akipatiwa matibabu

No comments:

Post a Comment