RAIS wa Zanzibar Dk. Ali Mohammed Shein wiki hii amemtembelea na kumjulia hali Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Chama chaCUF, Maalim Seif Sharrif Hamad, kwenye Hoteli ya Serena, ambaye yuko mapumziko baada ya kutoka kwenye Hospitali ya Hindu Mandal, ambako alilazwa kwa ajili ya kupatiwa matibabu |
No comments:
Post a Comment