Thursday 22 September 2016

SAMIA, MAJALIWA WAMJULIA HALI SPIKA MSTAAFU SITA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na  Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mzee Samuel Sitta (katikati) anayeendelea vizuri na matibabu jijini Dar es Salaam, kushoto ni Mke wa Mzee Sitta Mama Margaret Sitta.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na  Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samuel Sitta alipomtembelea na kumjulia hali jijini Dar es Salaam
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Spika Mstaafu, Samwel Sitta na mkewe Margaret wakati alipomjulia hali jijini Dar  es salaam Septemba 20, 2016.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment