Friday 28 August 2015

DK MAGUFULI AZIDI KUCHANJA MBUGA, WANANCHI WAPAGAWA KYELA

 Mbunge wa Jimbo la Kyela Dk. Harison Mwakyembe akihutubia wakazi wa Kyela waliojitokeza kumsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli
Umati wa wakazi wa Kyela wakimsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Kyela waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa John Mwakangale


Mgombea Ubunge Jimbo la Busokelo Kwere Fredy Mwakibete akiwaga sera zake kwenye mkutano wa kampeni za CCM ambao Dk. John Pombe Magufuli alihutubia
DK. Magufuli akiwaonyesha wananchi wa Kyela Ilani ya Uchaguzi ya CCM
DK. Magufuli akiingia kwenye viwanja vya kumbukumbu ya Mwakangale, Kyela.

No comments:

Post a Comment