Saturday 29 August 2015

HAIJAPATA KUTOKEA MBEYA

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi,Dkt John Pombe Magufuli akihutubia maelfu ya wananchi katika viwanja vya Nzovwe mjini Mbeya jioni ya leo,kwenye mkutano wa kampeni ya kuwaomba ridhaa Watanzania ya kuwaongoza katika awamu ya tano.

1 comment:

  1. Kwa kweli CCM ni chama imara sana, Hawa ndugu zetu waliohama ni haki yao lakini chama ndio kimezidi kuimarika sana, Nawaombeni sana wana CCM wooote kabisa tushikamane kwa umoja wetu ili ushindi upatikane kwa kishindo maana ushindi ni pale pale. nawatakia ushindi wa kishindo CCM Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.

    ReplyDelete