Thursday, 22 October 2015

DK SHEIN AFUNGA KAZI ZANZIBAR

MGOMBEA mwenza wa urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, akihutubia mkutano wa kufunga kampeni za kuwania urais wa Zanzibar, uliofanyika jana kwenye viwanja vya Gombani ya Kale, mjini Pemba
RAIS Jakaya Kikwete akihutubia wananchi wakati wa mkutano wa kufunga kampeni za kuwania urais wa Zanzibar, kwenye viwanja vya Gombani ya Kale, Pemba
RAIS wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia mkutano wa kufunga kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Gombani ya kale.
RAIS Jakaya Kikwete akisalimiana na Dk. Shein
DK. Shein akisalimiana na Samia
BAADHI ya wananchi waliohudhuria mkutano huo
DK Shein akiteta jambo na Samia wakati wa mkutano huo

No comments:

Post a Comment