![]() |
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimkaribisha kwenye Makao Makuu ya Chama, Ofisi Ndogo CCM Lumumba,Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano Mhe.Majaliwa Kassim Majaliwa. |
![]() |
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa akisaini kitabu cha wageni cha Ofisi ya Katibu Mkuu wa CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. |
No comments:
Post a Comment