Monday, 14 December 2015

MZEE MWINYI AKUTANA NA BALOZI WA IRAN


Rais Mstaafu wa awamu ya pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Alhaj Ali Hassan Mwinyi (kulia) akikabidhi picha ya maalum kwa Balozi wa Iran nchini Tanzania,  Mehdi Aghajafari, inayoonyesha sehemu ya Utamaduni wa Tanzania, wakati alipomtembelea nyumbani kwake, Mikocheni, Jijini Dar es salaam leo Desemba 14, 2015.

No comments:

Post a Comment