Tuesday 5 April 2016

MAJALIWA AKUTANA NA VIONGOZI WA SABMILLER




Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa akislimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya SABMiller Africa, Bw. Mark Bowman kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwake jijini Dar es salaam, Aprili 4, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa akislimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya SABMiller Africa, Bw. Mark Bowman (katikati) na Bw. Roberto Jarrtin wa Kampuni ya Bia Tanzania (kulia) kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwake jijini Dar es salaam, Aprili 4, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya SABMiller Africa, Bw. Mark Bowman (katikati) na Bw. Roberto Jarrin ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa  Kampuni ya Bia Tanzania -TBL (kulia) ofisini kwake jijini Dar es salaam, Aprili 4, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment