Friday 8 April 2016

RAIS MAGUFULI ASHIRIKI KUMBUKIZI YA MAUAJI YA KIMBARI RWANDA



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli na Rais Paul Kagame kwa pamoja wakiwasha “Urumuri Rutazima”  (Mwenge/mwali wa Matumaini)  katika maadhimisho Kumbukumbu ya miaka  22 ya Mauaji ya Kimbali mjijini Kigali, Rwanda.

No comments:

Post a Comment