![]() |
| MGOMBEA urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli akisoma bango la vijana wafanyabiashara wa eneo la Dumila, maarufu kama Feri, wakati akiwa njiani kwenda mkoani Tanga. |
![]() |
| DK. Magufuli akimnadi mgombea ubunge wa jimbo la Kilindi, Omari Kigua, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika juzi Kwaluguru. |
![]() |
| WANANCHI wakimsikiliza Dk. Magufuli, alipokuwa akimnadi mgombea ubunge wa Jimbo la Mvomero, Sadiq Murad. |
![]() |
| WAKAZI wa Turiani mkoani Morogoro, wakimsikiliza mgombea urais wa CCM, Dk. Magufuli. |
![]() |
| KATIBU Mkuu mstaafu wa CCM, Yusuph Makamba, akiwahutubia wakazi wa Turiani mkoani Morogoro. |
![]() |
| WANACHAMA wa CCM wakionyesha mabango ya mgombea ubunge wa jimbo la Mvomero, Sadiq Murad, wakati wa mkutano uliofanyika kwenye uwanja wa Kihalawa,Turiani, mkoani Morogoro. |
![]() |
| WAKAZI wa Turiani mkoani Morogoro, wakimsikiliza Dk. John Magufuli kwenye mkutano wa kampeni |
![]() |
| DK. Magufuli akimkabidhi Ilani ya Uchaguzi ya CCM, mgombea ubunge wa Jimbo la Handeni, Dk. Abdallaha Kigoda |
![]() |
| DK. Magufuli akimnadi kwa wananchi mgombea ubunge wa Jimbo la Handeni Vijijini, Mboni Mhita. |
![]() |
| WANANCHI wa Handeni wakishangilia jambo, wakati wa mkutano wa kampeni za CCM, uliofanyika juzi kwenye uwanja wa Azimio Center, mkoani Tanga |










No comments:
Post a Comment