![]() |
Rais Jakaya Kikwete akitia saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Mchungaji Mtikila kwenye ukumbi wa Karimjee, Dar es Salaam |
![]() |
Rais Kikwete akipita mbele ya jeneza lenye mwili wa Mchungaji Mtikila |
![]() |
Kikwete akisalimiana na baadhi ya wanafamilia wa marehemu Mchungaji Mtikila |
![]() |
Rais Kikwete akiwa na baadhi ya viongozi wa serikali wakati wa kuuaga mwili wa Mtikila |
No comments:
Post a Comment