![]() |
| Wajumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM, wakiwa wamesimama kimya kwa dakika moja kumkumbuka aliyekuwa mgombea ubunge wa Ulanga, marehemu Celina Kombani |
![]() |
| Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal (kulia) akitaniana na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Waziri Mkuu mstaafu, Salim Ahmed Salim baada ya kumalizika |
![]() |
| Dk. Bilal akisalimiana na Kinana |
![]() |
| Dk. Bilal akisalimiana na mmoja wa wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM |




No comments:
Post a Comment