Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli akisalimiana na mwakilishi mkazi wa Benki ya dunia Bi. Bella Bird alipomtembelea Ikulu jijini Dar es Salaam leo. |
Rais Magufuli akisalimiana na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia,Bi. Bella Bird alipomtembelea Ikulu jijini Dar es Salaam leo. |
Rais Magufuli akiwa katika mazungumzo na Bi Bella Bird |
![]() |
Rais Magufuli akiagana na Bi Bella Bird |
No comments:
Post a Comment