Saturday, 2 January 2016

MAKATIBU WAKUU NA MANAIBU WAO WALA KIAPO

MAKATIBU Wakuu wapya na Manaibu Katibu Wakuu wa wizara mbalimbali, walioteuliwa na Rais John Magufuli, wakila kiapo (picha ya Juu) na kutia saini fomu za maadili ya utumishi wa umma (picha ya chini) Ikulu, Dar es Salaam jana.

No comments:

Post a Comment