Sunday 4 October 2015

DK. MAGUFULI ALIVYOITETEMESHA SINGIDA

Mgombea urais wa CCM, John Magufuli akisindikizwa kuingia kwenye viwanja vya Azimio mjini Singida
Dk Magufuli akimwaga sera za CCM wakati wa mkutano huo
Dk. Magufuli akimshukuru mbunge wa zamani wa Singida Mjini, Mohamed Dewji (kushoto) na mkuu wa mkoa wa Singida, Pastory Kone
Mbunge wa zamani wa viti maalumu wa mkoa wa Singida, Diana Chilolo akimuombea kura Dk. Magufuli
Mjumbe wa kamati ya kampeni ya CCM, Mwigulu Nchemba akitema cheche wakati wa mkutano huo
Mjumbe wa kamati ya ushindi ya CCM, January Makamba akifafanua jambo kwa wananchi
Mohammed Dewji akiwakumbusha jambo wananchi
Sehemu ya umati wa wananchi waliohudhuria mkutano huo
Nchemba akiinua mikono kumkaribisha Dk. Magufuli
Dk. Magufuli akijadiliana jambo na Nchemba
Dk Magufuli akimkabidhi ilani ya uchaguzi mgombea ubunge wa Singida Mjini

No comments:

Post a Comment